Jenerali wa jeshi ateuliwa na raisi Magufuli kuwa Naibu mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU

Raisi John Pombe Magufuli Jana Agosti 21,2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa naibu mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
Uteuzi huo umeanza Jana Agosti 21,2017

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Saloon ya Kikie ni nini?

MAFUNZO YA USUSI WA NYWELE NA UREMBO UJUMLA (BUKOBA)

CHUO CHA UREMBO BUKOBA