Saloon ya Kikie ni nini?
SALUNI YA KIKE NI NINI? NDUGU ZANGU LEO NAPENDA NIKUSHIRIKISHE MAANA YA SALUNI YA KIKE Nini maana ya saluni ya kike? Saloon ya kike ni nini? Ni sehemu safi iliyotengwa au kuandaliwa ili kutengeneza muonekano MZURI wa mwanamke au SALOON YA KIKE ni aina ya biashara na UREMBO wa mwanamke na USUSI kwa jumla, Biashara ya saloon ya kike ni biashara yenye changamoto kubwa sana hii ni kwasababu inahusiana na urembo, Ikumbukwe kuwa muonekano wa mwanamke ndio kila kitu Kama mtu akifungua saloon ya kike hali hawezi kusuka au kutengeza nywele vizuri basi jua ya kuwa hata kama amewekeza milioni kumi saloon hiyo itakufa wakati wowote, mwanamke anapoingia saloon ya kike anakuwa anategemea apate huduma yenye kiwango kizuri na ubora atoke akiwa na muonekano mzuri zaidi yaani amependeza, kama unataka kufungua saloon ya kike usiwaze fuata hatua zifuatazo; HATUA TATU ZA KUFUATA KABLA YA KUFUNGUA SALOON YA KIKE...