FURSA
Bomba la mafuta kutoka Kabaale Uganda hadi Tanga Tanzania, Fursa hii sasa kwa watanzania wote bila kujali wewe ni nani, ndugu zangu watanzania tumekuwa na hali ya kutojikubali, kaa chonjo na kuwa tayali ili fursa hii isikupite kwa namna moja au nyingine haswa wakazi wa Bokoba Kagera Kahama Mwanza, na mikoa mingine linapopita bomba hilo, hii ndiyo tafsili ya Maishamedia