Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2017

Ni ipi tafsiri ya kula ujana?

Picha
Kula Ujana,      Mpendwa msomaji Karibu sana kwenye blog yako pendwa kabisa tukiangazia juu ya tafsiri ya kula Ujana ambayo imekuwa ikiwaangamiza kijana wengi na kupoteza vijana wengi                  Ujana ni wakati ambao mtoto anafikisha umri wa kuanzia miaka 17 hadi 35, ni wakati ambao vijana wengi au kipindi cha ukuaji ambapo vijana wengi huwaka tamaa ya kufanya ngono ambapo ni kinyume cha tafsiri ya ujana,                 Biblia inatumia Maneno "upeo wa Ujana" kufafanua kipindi cha Maisha ambapo tamaa za ngono na hisia za mahaba zinaanza kuwa zenye nguvu, rejea (1wakorinto 7:36) kuwa na ukaribu na mtu yule yule wa jinsia tofauti ukiwa Katika kipindi hicho kunaweza kuwasha tamaa hizo na kukufanya utumbukie katika mwenendo mbaya,           Ni kweli kwamba marafiki zako wanaweza wasione hilo kuwa ni jambo zito ikiwa wengi wao wanatamani kufanya ngo...

Kuna umuhimu wa kutunza ticket yako unaposafiri?

Picha
Kuna umuhimu mkubwa wa kutunza ticket yako unaposafiri,            Ni wakati tunatumia blog yako pendwa kabisa kujibu swali la watanzania wengi,           Ni kweli kuna umuhimu mkubwa sana wa kutunza ticket yako unaposafiri kwa sababu zifuatazo 1,   Inakusaidia kulipia nauli au garama zilizopangwa na smatra nchini 2,   Inasaidia kupunguza utapeli unaoweza kujitokeza endapo utalipa garama zilizopangwa kinyume na utaratibu, 3, Inathibitisha kuwa ulisafiri endapo itahitajika 4,   inasaidia kupunguza kelo endapo utahitaji kuahilisha safari na kurudishiwa garama zako 5,  Inakusaidia kulipwa endapo utapoteza mzigo wako        Ndugu msomaji kuna umuhimu mkubwa wa kutunza ticket yako kwa sababu Kama hizo na nyingine zilizobaki                    Na mwandishi  wenu Meddy Merchants Merches