Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2017

Ukaaji mbaya

Picha
Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga Simon Haule akionyesha ukaaji vibaya wa abilia kwenye bodaboda wakati wa mafunzo ya usalama barabarani. Katika mafunzo hayo alisema kwamba ukaaji huo ni wenye utata mkubwa na kusababisha ajali na vifo kwa watu wengi.

Magazeti ya Leo Agosti 22,2017

Picha
Ni hasubuhi nyingine kabisa Karibu mpenzi msomaji tuangalie yaliyojili katika magazeti mbalimbali hapa nchini hii Leo yakiwa yamebeba Habari ya Aliyevujisha sili ya Bombardier kwa Lisu kutafutwa, lakini pia Raisi John Pombe Magufuli apongezwa na Japan, Karibu mpenzi msomaji uhabalike zaidi na blog yako pendwa kabisa meddytz.

Jenerali wa jeshi ateuliwa na raisi Magufuli kuwa Naibu mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU

Picha
Raisi John Pombe Magufuli Jana Agosti 21,2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa naibu mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Uteuzi huo umeanza Jana Agosti 21,2017

Rais dkt Magufuli akutana na Rais wa shirika la kimataifa la maendeleo la Japan (JICA) ikulu jijini Dar es salaam.

Picha
Raisi wa Jamuhuli ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Raisi wa shirika la kimataifa la maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shirichi Kitaoka aliyekutana na kufanya mazungumzo naye hapo Jana Agost 21,2017 ikulu jijini Dar es salaam. Aidha Raisi wa jamuhuli ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtambulisha katibu mkuu wizara ya ujenzi uchunguzi na mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga na mtendaji mkuu wa Tanroads Mhandisi Patrick Mfugalo kwa raisi wa shilika la kimataifa la maendeleo la Japan (JICA) Be. Shinich Kitaoka aliyekutana naye hapo Jana Agosti 21,2017  

Magazeti ya Leo August 21/2017,

Picha
Ni siku nyingine tena katika media yako pendwa kabisa ya August 21/2017, Karibu mpenzi msomaji uweze kuona yaliyojili katika magazeti mbalimbali hapa nchini ikiwa ni pamoja na Serikali kubanwa Bombardier Canada, na katika michezo tunaangazia Yanga yaiwahi simba kwa Kocha, Karibu Sana.