Madeleva saba wafungiwa leseni kwa kukiuka sheria za usalama barabarani
Kamanda mkuu wa usalama barabarani nchini Fortunatus Muslim ametangaza kufungiwa leseni madeleva saba kutoka na kukiuka sheria za usalama barabarani ikwa ni pamoja na kusababisha ajali nyingi na vifo,
Pia mkuu wa usalama barabarani nchini Fortunatus Muslim amesema kuwa leseni hizo zitafungiwa kwa muda wa miezi sita hadi watakapo jilekebisha na kutii sheria bila shuruti,
Aidha kamanda Fortunatus Muslim amemtangaza rasmi Wisemana Luvunda kuwa barozi wa masuala ya usalama barabarani mkoani Mbeya.

Maoni
Chapisha Maoni