Rais dkt Magufuli akutana na Rais wa shirika la kimataifa la maendeleo la Japan (JICA) ikulu jijini Dar es salaam.
Raisi wa Jamuhuli ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Raisi wa shirika la kimataifa la maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shirichi Kitaoka aliyekutana na kufanya mazungumzo naye hapo Jana Agost 21,2017 ikulu jijini Dar es salaam.
Aidha Raisi wa jamuhuli ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtambulisha katibu mkuu wizara ya ujenzi uchunguzi na mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamhanga na mtendaji mkuu wa Tanroads Mhandisi Patrick Mfugalo kwa raisi wa shilika la kimataifa la maendeleo la Japan (JICA) Be. Shinich Kitaoka aliyekutana naye hapo Jana Agosti 21,2017


Maoni
Chapisha Maoni