Ukaaji mbaya

Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga Simon Haule akionyesha ukaaji vibaya wa abilia kwenye bodaboda wakati wa mafunzo ya usalama barabarani.
Katika mafunzo hayo alisema kwamba ukaaji huo ni wenye utata mkubwa na kusababisha ajali na vifo kwa watu wengi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Saloon ya Kikie ni nini?

MAFUNZO YA USUSI WA NYWELE NA UREMBO UJUMLA (BUKOBA)

CHUO CHA UREMBO BUKOBA