Kuna umuhimu wa kutunza ticket yako unaposafiri?

  • Kuna umuhimu mkubwa wa kutunza ticket yako unaposafiri, 

          Ni wakati tunatumia blog yako pendwa kabisa kujibu swali la watanzania wengi, 
         Ni kweli kuna umuhimu mkubwa sana wa kutunza ticket yako unaposafiri kwa sababu zifuatazo

1,   Inakusaidia kulipia nauli au garama zilizopangwa na smatra nchini
2,   Inasaidia kupunguza utapeli unaoweza kujitokeza endapo utalipa garama zilizopangwa kinyume na utaratibu,
3, Inathibitisha kuwa ulisafiri endapo itahitajika
4,   inasaidia kupunguza kelo endapo utahitaji kuahilisha safari na kurudishiwa

garama zako
5,  Inakusaidia kulipwa endapo utapoteza mzigo wako
       Ndugu msomaji kuna umuhimu mkubwa wa kutunza ticket yako kwa sababu Kama hizo na nyingine zilizobaki 
                  Na mwandishi  wenu Meddy Merchants Merches

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Saloon ya Kikie ni nini?

MAFUNZO YA USUSI WA NYWELE NA UREMBO UJUMLA (BUKOBA)

CHUO CHA UREMBO BUKOBA