Ni ipi tafsiri ya kula ujana?
Kula Ujana,
Mpendwa msomaji Karibu sana kwenye blog yako pendwa kabisa tukiangazia juu ya tafsiri ya kula Ujana ambayo imekuwa ikiwaangamiza kijana wengi na kupoteza vijana wengi
Ujana ni wakati ambao mtoto anafikisha umri wa kuanzia miaka 17 hadi 35, ni wakati ambao vijana wengi au kipindi cha ukuaji ambapo vijana wengi huwaka tamaa ya kufanya ngono ambapo ni kinyume cha tafsiri ya ujana,
Biblia inatumia Maneno "upeo wa Ujana" kufafanua kipindi cha Maisha ambapo tamaa za ngono na hisia za mahaba zinaanza kuwa zenye nguvu, rejea (1wakorinto 7:36) kuwa na ukaribu na mtu yule yule wa jinsia tofauti ukiwa Katika kipindi hicho kunaweza kuwasha tamaa hizo na kukufanya utumbukie katika mwenendo mbaya,
Ni kweli kwamba marafiki zako wanaweza wasione hilo kuwa ni jambo zito ikiwa wengi wao wanatamani kufanya ngono muda wote, lakini wewe unaweza kuwa tofauti nao, rejea (Waroma 12:2) neno la Mungu linakuhimiza "uukimbie upotovu wa kingono" rejea (1Wakorinto 6:18) ukingoja upite upeo wa ujana unaweza kukuondolea mbali msiba ( Muhubiri 11:10)
Vijana wengi wa kileo wamekuwa wakiruhusu kutawaliwa na tamaa za miili yako lakini mpendwa unayesoma ujumbe huu mshukuru Mwenyezi Mungu maana hii ni neema iliyofunuliwa machoni na kwenye ufaham wako juu ya tafsiri inayolenga kuwaangamiza vijana taifa la Mungu.
Maisha Media Karibuni sana.

Maoni
Chapisha Maoni