Alichokisema Christopher Mwahangila kuhusu huduma yake

Mwimbaji Wa nyimbo za injiri Christopher Mwahangila Leo wakati akifanya mahojiano na uhai FM alisema haya juu ya huduma yake
Mwimbaji huyo amesema alianza huduma ya uimbaji mwana 2015 akitokea mkoani Mbeya, kwa sasahivi anapatikana mkoani Dar es salaam, Anamshukuru Mungu kwa kumpa kibali mbele za watu kupitia album yake ya Mungu ni Mungu tu, pia ameongeza kuwa anataka kuachia album mpya itakayokuja ikiwa imekamilika upande Wa audio na video,
Ameomba wapendwa wakae wakitegemea Huduma nzuri kutoka kwake 
Pia ameongeza kuwa Christopher Mwahangila Wa mwana 2015  sio huyu Wa Leo maana Mwenyezi Mungu amemuinua kimaisha zaidi katika huduma yake kiroho 
Ameongeza kuwa anapenda sana kushauriwa, kujifunza zaidi huduma yake.
Kwa mawasiliano zaidi pigs +255 716 620 000 au
             +255 756 068 844.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Saloon ya Kikie ni nini?

MAFUNZO YA USUSI WA NYWELE NA UREMBO UJUMLA (BUKOBA)

CHUO CHA UREMBO BUKOBA