Diane Shima Rwigara akamatwa
Aliyetaka kugombea Urais nchini Rwanda mwana Dada Diane Shima Rwigara amekamatwa nchini humo kwa kosa la uchochezi Wa uasi, mwana Dada Diane amekamatwa yeye na mama yake,
Pia mwana Dada Diane amekamatwa kwa kosa la kuweka sahihi bandia kwenye nyaraka zilizogunduliwa kuwa hazina ukweli kuihusu serikari ya nchi hiyo
Hadi kufikia sasa uchunguzi bado unaendelea ili ijulikane amechoche vipi uhasi nchini humo,


Maoni
Chapisha Maoni