Dk. John Pombe Magufuli afanya mabadiliko katika baraza la mawaziri

Dk.John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko katika baraza la Mawaziri kwa kuongeza idadi ya Wizara, kuteua mawaziri na naibu mawaziri wapya na kuwahamisha Wizara baadhi ya mawaziri na naibu mawaziri.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Saloon ya Kikie ni nini?

MAFUNZO YA USUSI WA NYWELE NA UREMBO UJUMLA (BUKOBA)

CHUO CHA UREMBO BUKOBA