FURSA

Bomba la mafuta kutoka Kabaale Uganda  hadi Tanga Tanzania,
       Fursa hii sasa kwa watanzania wote bila kujali wewe ni nani, ndugu zangu watanzania tumekuwa na hali ya kutojikubali, kaa chonjo na kuwa tayali ili fursa hii isikupite kwa namna moja au nyingine haswa wakazi wa
              Bokoba Kagera 
               Kahama 
               Mwanza, na mikoa mingine linapopita bomba hilo, hii ndiyo tafsili ya Maishamedia


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Saloon ya Kikie ni nini?

MAFUNZO YA USUSI WA NYWELE NA UREMBO UJUMLA (BUKOBA)

CHUO CHA UREMBO BUKOBA