Hii si ya kukosa Uzinduzi wa Album mpya kutoka kwa Mwimbaji wa nyimbo za injiri Neema Ng'asha
Wapendwa katika Bwana mwimbaji wa nyimbo za injili Neema Ng'asha anapenda kukuhalika kushiriki uzinduzi wa Album mpya inayoitwa ( Tunaye Bwana katika video DVD) na ( USILIE tena katika Audio CD),
Kutakuwa na waimbaji wote wa nyimbo za injili kutoka ndani na nje ya mkoa wa mwanza, lakini pia kutakuwa na kwaya mbalimbali zikisifu na kumtukuza Mungu, hii sio ya kukosa, ni katika
UWANJA WA CCM KIRUMBA MWANZA, itakuwa tarehe 10/12/2017
Kuanzia saa 8:00 (nane kamili mchana)
KARIBUNI SANA HAKUNA KIINGILIO
Mbinguni tunaenda bureee kwa jina la YESU




Maoni
Chapisha Maoni