Neema na baraka sasa kwa watanzania wote,

Wapendwa nawasalimu katika jina la Yesu,

          Tunawatangazia watanzania wote tamasha  

La uimbaji wa nyimbo za injili litakalofanyika mkoani Njombe katika ukumbi wa Danda Chanya, siku ya tarehe 05/11/2017 kuanzia saa 7:09 mchana, 
   Watakuwepo waimbaji wengi sana kutoka ndani na nje ya Njombe kama vile 
Bahati Bukuku

, watakuwepo pia wanakwaya wa kwaya mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali, lakini pia watakuwepo Joyce Ombeni
 ,pia atakuwepo mtumishi Wa Mungu Furaha Isaya 
Ni katika wimbo uliojaa neema na baraka unaotambulishwa kwa jina la Nimepata Pumziko, 
       Watu kutoka sehemu mbalimbali watakuwepo kwa kiingilio cha 3000/= kwa MTU mzima na 2000/= kwa watoto
    Kachone neema na muujiza katika maisha yako na Mungu akubaliki sana.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Saloon ya Kikie ni nini?

MAFUNZO YA USUSI WA NYWELE NA UREMBO UJUMLA (BUKOBA)

CHUO CHA UREMBO BUKOBA